Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Maharai
2 Samweli 23 : 28
28 na Salmoni, Mwahohi, na Maharai, Mnetofathi;
1 Mambo ya Nyakati 11 : 30
30 Maharai Mnetofathi, Heledi mwana wa Baana Mnetofathi;
1 Mambo ya Nyakati 27 : 13
13 Kamanda wa kumi wa mwezi wa kumi alikuwa Maharai, Mnetofathi, wa Wazera; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
Leave a Reply