Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Mahalaleli
Mwanzo 5 : 17
17 Siku zote za Mahalaleli ni miaka mia nane na tisini na mitano, akafa.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 2
2 na Kenani, na Mahalaleli, na Yaredi;
Luka 3 : 37
37 wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,
Nehemia 11 : 4
4 Tena wakakaa Yerusalemu wengine wa wana wa Yuda, na wengine wa wana wa Benyamini. Wa wana wa Yuda; Athaya, mwana wa Uzia, mwana wa Zekaria, mwana wa Amaria, mwana wa Shefatia, mwana wa Mahalaleli, wa wana wa Peresi;
Leave a Reply