Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Maandiko
Yeremia 30 : 2
2 BWANA Mungu wa Israeli, asema hivi, ya kwamba, Uyaandike kitabuni maneno hayo yote niliyokuambia.
Yohana 3 : 10
10 Yesu akajibu, akamwambia, Je! Wewe u mwalimu wa Israeli, na mambo haya huyafahamu?
Yohana 7 : 52
52 ⑥ Wakajibu, wakamwambia, Je! Wewe nawe umetoka Galilaya! Chunguza, na utaona kuwa Galilaya hakutatoka nabii.
Leave a Reply