Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Lod
1 Mambo ya Nyakati 8 : 12
12 ⑮ Na wana wa Elpaali; Eberi, na Mishamu, na Shemedi, ambaye ndiye aliyejenga Ono na Lodi, pamoja na vijiji vyake;
Ezra 2 : 33
33 Watu wa Lodi, na Hadidi, na Ono, mia saba ishirini na watano.
Nehemia 7 : 37
37 Wana wa Lodi, na Hadidi, na Ono, mia saba ishirini na mmoja.
Nehemia 11 : 35
35 ⑥ Lodi, na Ono, lililokuwa bonde la mafundi.
Matendo 9 : 38
38 Na kwa kuwa mji wa Lida ulikuwa karibu na Yafa, nao wanafunzi waliosikia ya kwamba Petro yuko huko, wakatuma watu wawili kwake, kumsihi na kusema, Njoo kwetu pasipo kukawia.
Leave a Reply