Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Leviathan
Zaburi 104 : 26
26 Ndimo zipitamo merikebu, Ndimo alimo Lewiathani uliyemwumba acheze humo.
Isaya 27 : 1
1 Katika siku hiyo BWANA, kwa upanga wake ulio mkali, ulio mkubwa, ulio na nguvu, atamwadhibu Lewiathani, nyoka yule mwepesi, na Lewiathani, nyoka yule mwenye kuzongazonga; naye atamwua yule joka aliye baharini.
Zaburi 74 : 14
14 Wewe ulivivunja vichwa vya Lewiathani, Awe chakula cha watu wa jangwani.
Leave a Reply