Laadan

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Laadan

1 Mambo ya Nyakati 7 : 26
26 na mwanawe huyo ni Ladani, na mwanawe huyo ni Amihudi, na mwanawe huyo ni Elishama;

1 Mambo ya Nyakati 6 : 17
17 Na haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni; Libni, na Shimei.

1 Mambo ya Nyakati 23 : 9
9 Wana wa Shimei; Shelomothi, na Hazieli, na Harani, watatu. Hao walikuwa vichwa vya koo za baba za Ladani.

1 Mambo ya Nyakati 26 : 21
21 ⑰ Wana wa Ladani; wana wa Wagershoni waliokuwa wa Ladani; wakuu wa koo za mababa waliokuwa wa Ladani, Mgershoni; Yehieli.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *