Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kware
Kutoka 16 : 13
13 ② Ikawa wakati wa jioni, kware wakaja, wakaifunikiza kambi; na wakati wa asubuhi umande ulikuwa juu ya nchi pande zote za kituo.
Hesabu 11 : 32
32 Watu wakaondoka mchana huo wote, na usiku huo wote, na siku ya pili yote, kuwakusanya hao kware; yeye aliyepata ya upungufu kuliko wenziwe alipata kiasi cha homeri[20] kumi; nao wakawaanika wote kandokando ya kambi kuizunguka pande zote.
Zaburi 105 : 40
40 ⑲ Walimwomba naye akaleta kware, Na kuwashibisha chakula cha mbinguni.
Leave a Reply