Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia kuwa mpole
Mathayo 5 : 5
5 Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.
Mathayo 5 : 3
3 Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Mathayo 11 : 29
29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
Leave a Reply