Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kuvuna
Zaburi 129 : 7
7 Ambayo mvunaji haujazi mkono wake, Wala mfunga miganda kifua chake.
Zaburi 126 : 6
6 Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
Hosea 10 : 13
13 ① Mmelima dhuluma, mmevuna uovu; mmekula matunda ya uongo; kwa maana uliitumainia njia yako, na wingi wa mashujaa wako.
Leave a Reply