Biblia inasema nini kuhusu Kugugumia – Mistari yote ya Biblia kuhusu Kugugumia

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kugugumia

Isaya 32 : 4
4 Tena moyo wa mtu mwenye hamaki utafahamu maarifa, na ndimi zao wenye kigugumizi zitakuwa tayari kunena sawasawa.

Isaya 33 : 19
19 ⑱ Hutawaona watu wale wakali; watu wa maneno magumu usiyoweza kuyafahamu; wenye lugha ya kigeni usiyoweza kuielewa.

Kutoka 4 : 10
10 Musa akamwambia BWANA Ee Bwana, mimi si msemaji, tokea zamani, wala tokea hapo uliposema na mtumishi wako; maana mimi si mwepesi wa kusema, na ulimi wangu ni mzito.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *