Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kufukuzwa kwa Wapangaji
Mathayo 21 : 41
41 Wakamwambia, Atawaangamiza vibaya wale wabaya; na shamba la mizabibu atawapangisha wakulima wengine, watakaomlipa matunda kwa wakati wake.
Marko 12 : 9
9 Basi atafanyaje yule bwana wa shamba la mizabibu? Atakuja na kuwaangamiza wale wakulima, na lile shamba la mizabibu atawapa wengine.
Leave a Reply