Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kapadokia
Matendo 2 : 9
9 Waparthi na Wamedi na Waelami, nao wakaao Mesopotamia, Yudea na Kapadokia, Ponto na Asia,
1 Petro 1 : 1
1 Petro, mtume wa Yesu Kristo, kwa wateule wa Utawanyiko, wakaao hali ya ugeni katika Ponto, na Galatia, na Kapadokia, na Asia, na Bithinia;
Leave a Reply