Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kainani
Mwanzo 5 : 15
15 Mahalaleli akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 2
2 na Kenani, na Mahalaleli, na Yaredi;
Luka 3 : 37
37 wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,
Luka 3 : 36
36 ⑯ wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,
Leave a Reply