Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Jupita
Matendo 14 : 13
13 Kuhani wa Zeu ambaye hekalu lake lilikuwa mbele ya mji, akaleta ng’ombe na mataji ya maua hadi malangoni, akitaka kutoa dhabihu pamoja na umati wa watu.
Matendo 19 : 35
35 Na karani wa mji alipokwisha kuwatuliza watu, akasema, Enyi wanaume wa Efeso, ni mtu gani asiyejua ya kuwa mji wa Efeso ni mtunzaji wa hekalu la Artemi, aliye mkuu, na wa kitu kile kilichoanguka kutoka mbinguni?
Leave a Reply