Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Jogbehah
Hesabu 32 : 35
35 na Atrothi-shofani, na Yazeri, na Yogbeha;
Waamuzi 8 : 11
11 Basi Gideoni alikwea kwa njia iliyotumiwa na misafara, ambayo ilikuwa mashariki mwa Noba na Yogbeha, akalishambulia hilo jeshi; kwa maana lile jeshi halikuwa na hadhari.
Leave a Reply