Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia jiografia
Isaya 40 : 22
22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;
Mwanzo 1 : 1
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
Leave a Reply