Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Jerahmeeli
1 Mambo ya Nyakati 2 : 9
9 ⑧ Tena wana wa Hesroni aliozaliwa; Yerameeli, na Ramu, na Kalebu.
1 Mambo ya Nyakati 24 : 29
29 Wa Kishi; wana wa Kishi; Yerameeli.
Yeremia 36 : 26
26 Mfalme akamwamuru Yerameeli, mwana wa mfalme, na Seraya, mwana wa Azrieli, na Shelemia, mwana wa Abdeeli, wamkamate Baruku, mwandishi, na Yeremia, nabii; lakini BWANA aliwaficha.
Leave a Reply