Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Jazari
Hesabu 21 : 32
32 ⑫ Kisha Musa akatuma watu ili kupeleleza Yazeri, nao wakaitwaa miji yake, wakawafukuza Waamori waliokuwamo.
Hesabu 32 : 1
1 ③ Basi wana wa Reubeni, na hao wana wa Gadi, walikuwa na wanyama wa mifugo wengi sana; nao walipoona nchi ya Yazeri, na nchi ya Gileadi, ya kuwa mahali hapo palikuwa ni mahali pa kuwafaa wanyama;
Hesabu 32 : 3
3 Atarothi, na Diboni, na Yazeri, na Nimra, na Heshboni, na Eleale, na Sebamu, na Nebo na Beoni,
Hesabu 32 : 35
35 na Atrothi-shofani, na Yazeri, na Yogbeha;
Yoshua 13 : 25
25 ④ Mpaka wao ulikuwa ni Yazeri, na miji hiyo ya Gileadi, na nusu ya nchi ya wana wa Amoni, mpaka Aroeri uliokabili Raba;
Yoshua 21 : 39
39 na Heshboni pamoja na mbuga zake za malisho, na Yazeri pamoja na mbuga zake za malisho; jumla yake miji minne.
Leave a Reply