Biblia inasema nini kuhusu Jahazieli – Mistari yote ya Biblia kuhusu Jahazieli

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Jahazieli

1 Mambo ya Nyakati 12 : 4
4 na Ishmaya Mgibeoni, shujaa wa wale thelathini, naye alikuwa juu ya wale thelathini; na Yeremia, na Yahazieli, na Yohana, na Yozabadi Mgederathi;

1 Mambo ya Nyakati 16 : 6
6 nao makuhani Benaya na Yahazieli wenye baragumu daima, mbele ya sanduku la Agano la Mungu.

1 Mambo ya Nyakati 23 : 19
19 Wana wa Hebroni; Yeria mkuu wao, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne.

1 Mambo ya Nyakati 24 : 23
23 ① Na wana wa Hebroni; Yeria mkuu wao, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, Yekameamu wa nne.

2 Mambo ya Nyakati 20 : 14
14 Ndipo Yahazieli mwana wa Zekaria, mwana wa Benaya, mwana wa Yeieli, mwana wa Matania, Mlawi, wa wana wa Asafu, akajiliwa na Roho ya BWANA, katikati ya kusanyiko;

Ezra 8 : 5
5 Wa wana wa Zatu, Shekania, mwana wa Yahazieli; na pamoja naye wanaume mia tatu.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *