Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Injini
2 Mambo ya Nyakati 26 : 15
15 Huko Yerusalemu akatengeneza mitambo ya vita, iliyobuniwa na watu mastadi, iwekwe juu ya minara na juu ya buruji, ili kurusha mishale na mawe makubwa. Jina lake likaenea mbali sana; kwa kuwa alisaidiwa mno ajabu, hata akapata nguvu.
Leave a Reply