Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ikoniamu
Matendo 13 : 51
51 Nao wakawakung’utia mavumbi ya miguu yao, wakaenda Ikonio.
Matendo 14 : 22
22 ⑪ wakifanya imara roho za wanafunzi na kuwahimiza wakae katika ile Imani, na ya kwamba imetupasa kuingia katika ufalme wa Mungu kwa njia ya dhiki nyingi.
Matendo 16 : 2
2 Mtu huyo alishuhudiwa vema na ndugu waliokaa Listra na Ikonio.
Matendo 14 : 6
6 wao wakapata habari wakakimbilia Listra na Derbe, miji ya Likaonia, na nchi zilizo kandokando;
2 Timotheo 3 : 11
11 ⑯ na upendo, na subira; tena na adha zangu na mateso, mambo yaliyonipata katika Antiokia, katika Ikonio, na katika Listra, kila namna ya adha niliyoistahimili, naye Bwana aliniokoa katika hayo yote.
Leave a Reply