Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ije-Abarim
Hesabu 21 : 11
11 Wakasafiri kutoka Obothi, wakapanga Iye-abarimu, katika jangwa lililoelekea Moabu, upande wa maawio ya jua.
Hesabu 33 : 44
44 Wakasafiri kutoka Obothi, wakapiga kambi Lye-abarimu, katika mpaka wa Moabu.
Leave a Reply