Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hushim
Mwanzo 46 : 23
23 Na wana wa Dani; Hushimu.
Hesabu 26 : 42
42 ⑪ Na wana wa Dani ni hawa kwa jamaa zao; wa Shuhamu, jamaa ya Washuhamu. Hizi ndizo jamaa za Dani kwa jamaa zao.
1 Mambo ya Nyakati 7 : 12
12 Tena Shupimu, na Hupimu, wana wa Iri; na Hushimu, wana wa Aheri.
1 Mambo ya Nyakati 8 : 8
8 ⑭ Na Shaharaimu akazaa watoto katika Bara-Moabu, baada ya kuwafukuza wakeze Hushimu na Baara.
1 Mambo ya Nyakati 8 : 11
11 Naye alikuwa amezaliwa na Hushimu, Abitubu, na Elpaali.
Leave a Reply