Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hiddekeli
Mwanzo 2 : 14
14 Na jina la mto wa tatu ni Hidekeli; ndio unaopita mbele ya Ashuru. Na mto wa nne ni Frati.
Danieli 10 : 4
4 Na siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilipokuwa kando ya ule mto mkubwa, Hidekeli;
Leave a Reply