Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hephzi-Bah
2 Wafalme 21 : 1
1 ⑰ Manase alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili alipoanza kutawala; akatawala miaka hamsini na mitano katika Yerusalemu, na jina la mamaye aliitwa Hefziba.
Isaya 62 : 4
4 Hutaitwa tena Aliyeachwa, wala nchi yako haitaitwa tena, Ukiwa; bali utaitwa Hefziba;[15] na nchi yako Beula;[16] kwa kuwa BWANA anakufurahia, na nchi yako itaolewa.
Leave a Reply