Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hazerothi
Hesabu 11 : 35
35 Kutoka hapo Kibroth-hataava watu wakasafiri kwenda Haserothi; wakakaa huko Haserothi.
Hesabu 12 : 16
16 Baada ya hayo watu wakasafiri kutoka Haserothi, wakapiga kambi katika nyika ya Parani.
Hesabu 33 : 18
18 Wakasafiri kutoka Haserothi, wakapiga kambi Rithma.
Kumbukumbu la Torati 1 : 1
1 Haya ndiyo maneno Musa aliyowaambia Israeli wote ng’ambo ya Yordani nyikani, katika Araba lililoelekea Sufu, kati ya Parani, na Tofeli, na Labani, na Hazerothi, na Dizahabu.
Leave a Reply