Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Gallimu
1 Samweli 25 : 44
44 ⑲ Lakini Sauli alikuwa amemposa Mikali, binti yake aliyekuwa mkewe Daudi, kwa Palti, mwana wa Laisha aliyekuwa mtu wa Galimu.
Isaya 10 : 30
30 Piga kelele sana, Ee binti Galimu; sikiliza, Ee Laisha; ole wako, maskini Anathothi!
Leave a Reply