Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ela
1 Samweli 17 : 2
2 Naye Sauli na watu wa Israeli wakakusanyika, wakatua katika bonde la Ela, nao wakapanga vita juu ya hao Wafilisti.
1 Samweli 17 : 19
19 Basi Sauli, na watu wote wa Israeli, walikuwa katika bonde la Ela, wakipigana na Wafilisti.
1 Samweli 21 : 9
9 Yule kuhani akasema, Upanga wa Goliathi, yule Mfilisti, uliyemwua katika bonde la Ela, tazama, upo hapa, umefungwa ndani ya nguo nyuma ya naivera; ukipenda kuuchukua, haya! Uchukue, maana hapa hapana mwingine ila huo tu. Daudi akasema, Hapana mwingine kama ule; haya! Nipe.
Mwanzo 36 : 41
41 jumbe Oholibama, jumbe Ela, jumbe Pinoni,
1 Mambo ya Nyakati 1 : 52
52 na jumbe Oholibama, na jumbe Ela, na jumbe Pinoni;
1 Mambo ya Nyakati 4 : 15
15 Na wana wa Kalebu, mwana wa Yefune; Iru, na Ela, na Naamu; na wana wa Ela; na Kenazi.
1 Wafalme 4 : 18
18 Shimei mwana wa Ela, katika Benyamini.
1 Wafalme 16 : 14
14 Na mambo yote ya Ela yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Israeli?
2 Wafalme 15 : 30
30 Na Hoshea mwana wa Ela akamfitinia Peka mwana wa Remalia, akampiga, akamwua, akatawala mahali pake, katika mwaka wa ishirini wa Yothamu mwana wa Uzia.
2 Wafalme 17 : 1
1 ⑪ Katika mwaka wa kumi na mbili wa Ahazi mfalme wa Yuda Hoshea mwana wa Ela alianza kutawala juu ya Israeli katika Samaria; akatawala miaka tisa.
1 Mambo ya Nyakati 9 : 8
8 na Ibneya, mwana wa Yerohamu; na Ela, mwana wa Uzi, mwana wa Mikri; na Meshulamu, mwana wa Shefatia, mwana wa Reueli, mwana wa Ibniya;
Leave a Reply