Egloni

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Egloni

Yoshua 10 : 23
23 Nao wakafanya hivyo, wakamletea hao wafalme watano hapo nje ya pango, yaani, mfalme wa Yerusalemu, na mfalme wa Hebroni, na mfalme wa Yarmuthi, na mfalme wa Lakishi, na mfalme wa Egloni.

Yoshua 10 : 35
35 siku iyo hiyo wakautwaa, nao wakaupiga kwa makali ya upanga, na wote pia waliokuwamo ndani yake akawaangamiza kabisa siku hiyo, sawasawa na hayo yote aliyoufanyia mji wa Lakishi.

Yoshua 15 : 39
39 ② Lakishi, Bozkathi, Egloni;

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *