Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Drama
1 Mambo ya Nyakati 29 : 7
7 nao wakatoa, kwa ajili ya utumishi wa nyumba ya Mungu, dhahabu talanta elfu tano, na darkoni[21] elfu kumi, na fedha talanta elfu kumi, na shaba talanta elfu kumi na nane, na chuma talanta elfu mia moja.
Ezra 2 : 69
69 wakatoa kadiri walivyoweza, na kutia katika hazina ya kazi hiyo, darkoni[6] za dhahabu elfu sitini na moja, na mane[7] za fedha elfu tano, na mavazi mia moja ya makuhani.
Ezra 8 : 27
27 na mabakuli ishirini ya dhahabu, thamani yake darkoni elfu moja; na vyombo viwili vya shaba nzuri iliyong’aa, thamani yake sawa na dhahabu.
Nehemia 7 : 72
72 Na mabaki ya watu wakatoa darkoni za dhahabu elfu ishirini, na mane za fedha elfu mbili, na mavazi ya makuhani sitini na saba.
Leave a Reply