Biblia inasema nini kuhusu dhihaka – Mistari yote ya Biblia kuhusu dhihaka

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia dhihaka

2 Wafalme 2 : 23 – 24
23 Akakwea kutoka huko mpaka Betheli; naye alipokuwa akienda njiani, wakatoka vijana katika mji, wakamfanyizia mzaha, wakamwambia, Paa wewe mwenye upaa! Paa wewe mwenye upaa!
24 Akatazama nyuma akawaona, akawalaani kwa jina la BWANA. Wakatoka dubu wawili wa kike mwituni, wakawararua vijana arubaini na wawili miongoni mwao.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *