Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Daberath
Yoshua 19 : 12
12 kisha ukazunguka kutoka Saridi kwendelea upande wa mashariki kwa kuelekea maawio ya jua hata kufikia mpaka wa Kisiloth-ubori; kisha ukatokea hata Daberathi, kisha ukakwea kwendelea Yafia;
Yoshua 21 : 28
28 Tena katika kabila la Isakari, Kishioni pamoja na malisho yake, na Daberathi pamoja na mbuga zake za malisho;
1 Mambo ya Nyakati 6 : 72
72 na katika kabila la Isakari; Kishioni pamoja na viunga vyake, na Daberathi pamoja na viunga vyake;
Leave a Reply