Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Coriander
Kutoka 16 : 31
31 ⑬ Na nyumba ya Israeli wakakiita jina lake Mana; nacho kilikuwa mfano wa chembe za mtama, nyeupe; na utamu wake ulikuwa kama utamu wa maandazi membamba yaliyoandaliwa kwa asali.
Hesabu 11 : 7
7 Na hiyo mana ilikuwa mfano wa chembe za mtama na rangi yake ilikuwa kama ya Bedola.
Leave a Reply