Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Chidon
1 Mambo ya Nyakati 13 : 9
9 Hata walipofika penye uga wa Nakoni, Uza akaunyosha mkono wake alishike sanduku; kwa maana wale ng’ombe walijikwaa.
2 Samweli 6 : 6
6 ⑭ Hata walipofika kwenye uga wa Nakoni, Uza akalinyoshea mkono sanduku la Mungu, akalikamata kwa maana wale ng’ombe walijikwaa.
Leave a Reply