Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Calneh
Mwanzo 10 : 10
10 ⑪ Mwanzo wa ufalme wake ulikuwa Babeli na Ereku, na Akadi, na Kalne, katika nchi ya Shinari.
Isaya 10 : 9
9 ⑯ Je! Kalno si kama Karkemishi? Hamathi si kama Arpadi? Samaria si kama Dameski?
Ezekieli 27 : 23
23 ⑦ Harani, na Kane, na Adini, wachuuzi wa Sheba, na Ashuru, na Kilmadi, walikuwa wachuuzi wako.
Amosi 6 : 2
2 Piteni hadi Kalne, mkaone; tena tokea huko nendeni hadi Hamathi iliyo kuu; kisha shukeni hadi Gathi ya Wafilisti; je! Ninyi ni bora kuliko falme hizi? Au eneo lao ni kubwa kuliko eneo lenu?
Leave a Reply