Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Buni
Nehemia 9 : 4
4 Ndipo wakasimama katika jukwaa la Walawi, Yeshua, na Bani, na Kadmieli, na Shebania, na Buni, na Sherebia, na Bani, na Kenani, wakamlilia BWANA, Mungu wao, kwa sauti kuu.
Nehemia 11 : 15
15 Na wa Walawi; Shemaya, mwana wa Hashubu, mwana wa Azrikamu, mwana wa Hashabia, mwana wa Buni;
Nehemia 10 : 15
15 Buni, Azgadi, Bebai;
Leave a Reply