Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Bul
1 Wafalme 6 : 38
38 Na katika mwaka wa kumi na mmoja, katika mwezi wa Buli,[7] ndio mwezi wa nane, nyumba ikaisha, mambo yake yote, kulingana na kanuni zote. Basi muda wa miaka saba alikuwa katika kuijenga.
1 Wafalme 12 : 33
33 ⑦ Akatoa dhabihu juu ya ile madhabahu aliyoifanya katika Betheli, siku ya kumi na tano ya mwezi wa nane, mwezi aliouwaza moyoni mwake mwenyewe; akawaamuru wana wa Israeli waishike sikukuu hiyo, akapanda kuiendea madhabahu, ili kufukiza uvumba.
1 Mambo ya Nyakati 27 : 11
11 Kamanda wa nane wa mwezi wa nane alikuwa Sibekai, Mhushathi, wa Wazera; na katika zamu yake walikuwa watu elfu ishirini na nne.
Leave a Reply