Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Bigthan
Esta 2 : 23
23 Na jambo hilo lilipochunguzwa, na hakika ikapatikana, hao wote wawili wakatundikwa juu ya mti. Hayo pia yakaandikwa katika kitabu cha kumbukumbu mbele ya mfalme.
Esta 6 : 2
2 Ikaonekana kuwa imeandikwa ya kwamba Mordekai aliwasema Bigthana na Tereshi, wasimamizi wawili wa mfalme, katika hao waliolinda mlango, waliotaka kumwua[7] mfalme Ahasuero.
Leave a Reply