Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Bidii
Zaburi 86 : 17
17 Unifanyie ishara ya wema, Wanichukiao waione na kuaibishwa. Kwa kuwa Wewe, BWANA, Umenisaidia na kunifariji.
2 Wakorintho 1 : 22
22 naye ndiye aliyetutia mhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu.
2 Wakorintho 5 : 5
5 Basi yeye aliyetufanya kwa ajili ya neno lilo hilo ni Mungu, aliyetupa arabuni ya Roho.
Leave a Reply