Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Beria
Mwanzo 46 : 17
17 Na wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na Sera, dada yao. Na wana wa Beria ni Heberi, na Malkieli.
Hesabu 26 : 45
45 Wa wana wa Beria; wa Heberi, jamaa ya Waheberi; wa Malkieli, jamaa ya Wamalkieli.
1 Mambo ya Nyakati 7 : 30
30 ⑩ Wana wa Asheri; Imna, na Ishva, na Ishvi, na Beria, na dada yao, Sera.
1 Mambo ya Nyakati 7 : 23
23 ⑤ Naye akamwingilia mkewe, naye akachukua mimba na kuzaa mwana, akamwita jina lake Beria, kwa sababu maafa yalikuwa yameipata nyumba yake.
1 Mambo ya Nyakati 8 : 13
13 ⑯ na Beria, na Shema, waliokuwa wakuu wa mbari za baba zao miongoni mwa wenyeji wa Aiyaloni, wale ambao waliwakimbiza wenyeji wa Gathi.
1 Mambo ya Nyakati 23 : 11
11 Naye Yahathi alikuwa mkubwa wao, na Zina alikuwa wa pili; lakini Yeushi na Beria hawakuwa na wana wengi; basi wakahesabiwa pamoja kama ukoo mmoja.
Leave a Reply