Biblia inasema nini kuhusu Azuba – Mistari yote ya Biblia kuhusu Azuba

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Azuba

1 Wafalme 22 : 41
41 Yehoshafati mwana wa Asa alianza kutawala juu ya Yuda, katika mwaka wa nne wa Ahabu mfalme wa Israeli.

2 Mambo ya Nyakati 20 : 31
31 ⑪ Yehoshafati alipoanza kutawala Yuda; alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano, huko Yerusalemu, akatawala miaka ishirini na mitano huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Azuba binti Shilhi.

1 Mambo ya Nyakati 2 : 19
19 Akafa Azuba, naye Kalebu akamtwaa Efrata, aliyemzalia Huri.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *