Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Athene
Matendo 17 : 34
34 Baadhi ya watu wakaungana naye, wakaamini; katika hao alikuwamo Dionisio, Mwareopago, na mwanamke mmoja jina lake Damari, na watu wengine pamoja na hao.
1 Wathesalonike 3 : 1
1 Basi kwa hiyo, tulipokuwa hatuwezi kuvumilia zaidi, tuliona vema kuachwa Athene peke yetu.
Leave a Reply