Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ashura
1 Mambo ya Nyakati 2 : 24
24 ⑱ Tena, baada ya kufa kwake Hesroni huko Kalebu-Efrata, ndipo Abia, mkewe Hesroni, alipomzalia Ashuri, babaye Teboa.
1 Mambo ya Nyakati 4 : 5
5 Naye Ashuri, babaye Tekoa, alikuwa na wake wawili, Hela na Naara.
Leave a Reply