Biblia inasema nini kuhusu Arimathaya – Mistari yote ya Biblia kuhusu Arimathaya

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Arimathaya

Mathayo 27 : 57
57 ⑰ Na ilipokuwa jioni akafika mtu tajiri wa Arimathaya, jina lake Yusufu, naye mwenyewe alikuwa mwanafunzi wa Yesu;⑱

Marko 15 : 43
43 akaenda Yusufu, mtu wa Arimathaya, mstahiki, mtu wa baraza ya mashauri, naye mwenyewe anautazamia ufalme wa Mungu; akafanya ujasiri, akaingia mbele ya Pilato akauomba mwili wake Yesu.

Luka 23 : 51
51 ⑬ (wala hakulikubali shauri na tendo lao), naye ni mtu wa Arimathaya, mji mmoja wa Wayahudi, tena anautazamia ufalme wa Mungu;

Yohana 19 : 38
38 Hata baada ya hayo Yusufu wa Arimathaya, naye ni mwanafunzi wa Yesu, (lakini kwa siri, kwa hofu ya Wayahudi), alimwomba Pilato ruhusa ili auondoe mwili wake Yesu. Na Pilato akampa ruhusa. Basi akaenda, akauondoa mwili wake.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *