Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Aphrah
Mika 1 : 10
10 Msiyahubiri haya katika Gathi, msilie kamwe; Katika Beth-le-Afra ugaegae mavumbini.
1 Mambo ya Nyakati 4 : 14
14 Na Meonothai akamzaa Ofra; na Seraya akamzaa Yoabu, babaye Ge-harashimu;[3] kwani hao walikuwa mafundi stadi.
Leave a Reply