Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Anania
Matendo 23 : 5
5 Paulo akasema, Sikujua, ndugu zangu, ya kuwa yeye ni Kuhani Mkuu; maana imeandikwa, Usimnenee mabaya mkuu wa watu wako.
Matendo 24 : 1
1 Baada ya siku tano, Anania, Kuhani Mkuu, akateremka na baadhi ya wazee pamoja naye, na msemi mmoja, Tertulo, nao wakamweleza mtawala habari za Paulo.
Matendo 25 : 2
2 ④ Kuhani Mkuu na wakuu wa Wayahudi wakampasha habari za Paulo, wakamsihi,
Matendo 5 : 11
11 Hofu nyingi ikalipata kanisa lote na watu wote walioyasikia haya.
Matendo 9 : 18
18 Mara vikaanguka machoni pake vitu kama magamba, akapata kuona, akasimama, akabatizwa;
Matendo 22 : 16
16 ⑬ Basi sasa, mbona unakawia? Simama, ubatizwe, ukaoshwe dhambi zako, ukiliitia jina lake.
Leave a Reply