Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Amethisto
Kutoka 28 : 19
19 na safu ya tatu itakuwa hiakintho, na akiki nyekundu, na amethisto;
Kutoka 39 : 12
12 Na safu ya tatu ilikuwa ni hiakintho, na akiki nyekundu, na amethisto.
Ufunuo 21 : 20
20 wa tano sardoniki; wa sita akiki; wa saba krisolitho; wa nane zabarajadi; wa tisa yakuti ya manjano; wa kumi krisopraso; wa kumi na moja hiakintho; wa kumi na mbili amethisto.
Leave a Reply