Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Alvah
Mwanzo 36 : 40
40 Na hayo ndiyo majina ya majumbe waliotoka kwa Esau, kufuata jamaa zao, na mahali pao, kwa majina yao. Jumbe Timna, jumbe Alva, jumbe Yethethi,
1 Mambo ya Nyakati 1 : 51
51 ① Akafa Hadadi. Na hawa ndio majumbe wa Edomu; jumbe Timna, na jumbe Alva, na jumbe Yethethi;
Leave a Reply