Biblia inasema nini kuhusu Ajaloni – Mistari yote ya Biblia kuhusu Ajaloni

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ajaloni

Yoshua 19 : 42
42 ⑳ Shaalabini, Aiyaloni, Ithla;

Yoshua 21 : 24
24 na Aiyaloni pamoja na mbuga zake za malisho, na Gath-rimoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.

1 Samweli 14 : 31
31 Nao wakawapiga watu miongoni mwa Wafilisti siku ile kutoka Mikmashi mpaka Ayaloni; na hao watu walikuwa wamepungukiwa sana na nguvu.

1 Mambo ya Nyakati 6 : 69
69 na Aiyaloni pamoja na viunga vyake, na Gath-rimoni pamoja na viunga vyake;

Waamuzi 1 : 35
35 ① lakini hao Waamori waliendelea kukaa katika kilima cha Heresi, na katika Aiyaloni, na katika Shaalbimu; pamoja na haya mkono wa hiyo nyumba ya Yusufu ulishinda, hata wakawalazimisha shokoa.

Waamuzi 12 : 12
12 Huyo Eloni, Mzabuloni, akafa, akazikwa katika Aiyaloni katika nchi ya Zabuloni.

2 Mambo ya Nyakati 28 : 18
18 Wafilisti pia walikuwa wameishambulia na kuitwaa miji ya Shemeshi, Ayaloni, Gederothi, soko, pamoja na vijiji vyake, Timna pamoja na vijiji vyake na Gimzo pia na vijiji vyake, miji yake; wakakaa humo.

2 Mambo ya Nyakati 11 : 10
10 Sora, Aiyaloni, na Hebroni, iliyoko katika Yuda na Benyamini, miji yenye maboma.

Yoshua 10 : 12
12 Ndipo Yoshua akanena na BWANA katika siku hiyo ambayo BWANA aliwatoa Waamori mbele ya wana wa Israeli; akasema mbele ya macho ya Israeli, Wewe Jua, simama kimya juu ya Gibeoni; Na wewe Mwezi, simama katika bonde la Aiyaloni.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *