Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Achzib
Yoshua 19 : 29
29 ⑯ kisha mpaka ulizunguka kuelekea Rama, na mji wa Tiro ulio na boma; kisha mpaka ulizunguka kuelekea Hosa; na matokeo yake yalikuwa baharini katika nchi ya Akzibu;
Waamuzi 1 : 31
31 Asheri naye hakuwatoa wenyeji wa Aka, wala hao waliokaa Sidoni, wala hao wa Alabu, wala hao wa Akzibu, wala hao wa Helba, wala hao wa Afeka, wala hao wa Rehobu;
Mwanzo 38 : 5
5 Akaendelea, akazaa tena mwana mwingine, akamwita jina lake Shela. Naye Yuda alikuwa huko Kezibu, alipomzaa.
Yoshua 15 : 44
44 Keila, Akizibu na Maresha; miji tisa, pamoja na vijiji vyake.
Leave a Reply